Wee njoo nikupakate bwana tufurahie ushindiRefa maliza mpira, wengine tunawahi kunyonyesha na tunakaa mbali πππππππππππππππ
Mtoto akililia wembe....
Haya hapaTupeni maua yetu
sisi ni yangaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Imeisha hiyooooo,tuulizwe kesho tunaamka saa ngapi wanayanga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yanga ni bingwa wa msimu wa 22/23View attachment 2620494
Kipa wa dodoma akanywe maji sasa[emoji23][emoji23]Hii ndio dawa ya mtoto king'ang'anizi. [emoji1787]
Nipo Best...Oooh nimefurahi nimekuona hapa. kiwatengu miaka mingi sana sana. Nipo sijui wewe.
WakwanzaAisee hii Yanga inaogopesha!!
This is Yangaaaπ₯ππππNyuma mwiko ππ
Twisa mkuuTwambombo
Dogo tazama line up yenu.. Mayele, Aziz Ki, Morisson wote walianza, nyie hamna lolote..Hatupeleki icho kikosi souz.. kuna kikos cha dodoma jiji na kuna kikoz cha Souz