Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee njoo nikupakate bwana tufurahie ushindiRefa maliza mpira, wengine tunawahi kunyonyesha na tunakaa mbali 😂😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃💃💃💃
Mtoto akililia wembe....
Haya hapaTupeni maua yetu
sisi ni yangaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Imeisha hiyooooo,tuulizwe kesho tunaamka saa ngapi wanayanga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yanga ni bingwa wa msimu wa 22/23View attachment 2620494
Kipa wa dodoma akanywe maji sasa[emoji23][emoji23]Hii ndio dawa ya mtoto king'ang'anizi. [emoji1787]
Nipo Best...Oooh nimefurahi nimekuona hapa. kiwatengu miaka mingi sana sana. Nipo sijui wewe.
WakwanzaAisee hii Yanga inaogopesha!!
This is Yangaaa🔥💛💚💛💚Nyuma mwiko 😂😂
Twisa mkuuTwambombo
Dogo tazama line up yenu.. Mayele, Aziz Ki, Morisson wote walianza, nyie hamna lolote..Hatupeleki icho kikosi souz.. kuna kikos cha dodoma jiji na kuna kikoz cha Souz