FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

Kikosi chote ndio hiko usilete visingizio,bahasha tu ilikuwa haijanona ila mmeenda kuongeza mzigo mambo yamekaa poa
Diarra yupo? Yanga inachezeshaga Mauya kwenye kiungo kikosi cha kwanza?
Haya basi tufanye kikosi ndio hiko hiko ila tayari Yanga wmeshatangulia magoli mawili dhidi ya Marumo. Kwahiyo endelea kuwa mpole usubirie unachotamani ukipate huko south.
 
Back
Top Bottom