Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
ππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Class mate bado umekaa pale au ushanyanyuka kwenda kula mifupa π€£π€£UTO naifananisha na MΓLAGA walifika nusu fainal uefa msimu uliofuata wakashuka daraja
Nipo pale UTO nawaonea huruma
BAHLABANE BA NTWA
ndinkafuuUlinkafuuu mweeee
Kwa nini nyie msiwe mnaonga piaUtopolo bila kuhonga hakuna game wanashinda
Kuna yule mwenzako bado yupo chaka huwa haaminigi mpaka aposti Millard AyoUnakonda Kutokea pande zipi ndugu mjumbe mfaransa mwenzangu?π
Yanga kiwango chetu kwa sasa ni π₯ππππ
Mama J umemuona? πLeo naona vibe hapa chamazi kama lote....jamani wananchi wana waremboooo
Endelea kuota ndoto πYanga tunajiandaa kucheza EPL
Wajumbe wanateseka
Yap ni kijisehemu tu ila itategemeana na matokeo ya siku hiyoHahahaa! Nina familia Scars.
Jf ni kijisehemu tu. π€£
Manara huyu huyu aliyewaita hamna akili au ni yupi ?Hapa bado Manara hajawapiga KO na lile Domo lake
Walijaribu kujilinganisha. π€£π€£ wakijua tupo nao sawa.Wanachokoza wakubwaaaa