FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

..
IMG-20230513-WA0004.jpg
 
Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.
Mimi itabidi nijifunze kitu kimoja cha "UNITY" kutoka kwa ndugu zangu.

Inawezekana vipi kwenye platform kama hii sehemu ambayo nahakika kabisa kuwa watu hawajuani personally wawe na umoja wa kupotea kwa pamoja pindi matokeo ya mpira yanapokuwa mabaya kwao?

Wanaambizanaje hawa kwamba huu ni muda wa kusepa na huu ni muda wakurudi?
 
Back
Top Bottom