FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

Tupo live
Screenshot_20230513_231736_Instagram.jpg
 
Hii raha balaaaa.....jamani tukutane pale mikumu leo hakuna kulala
 
Mwee wazee wa kujikuta 'humble', kwa bahati mbaya kibongobongo haya maneno "much know" na "humble" huwa yanatumika vibaya, nilichokuja kugundua mashabiki wengi wa yanga huwa wanajiona wako humble sana kumbe wengi wao ni wenye mawazo yetu 'yale'

Hongereni watani, lakini muache hii tabia ya kujiona mko humble na kuwaita mashabiki wa simba much know, wakati kiuhalisia wala hamko hivyo na kila timu ina mashabiki wenye tabia tofauti tofauti
Screenshot_20230513-182507_1.jpg
 
wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi wananchi
hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera hongera mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa mabingwa
 
Back
Top Bottom