Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Huu sio mwandiko wa mwanasimba.Sisi kama wanasimba tunaungana na wananchi wote na familia ya mpira kuwatakia ubingwa mwema ndugu zetu Yanga kwa kuchukua ubingwa kibabe. Hakika tuna la kujifunza kutoka kwa WANANCHI.