FT: Young Africans 4-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | Chamazi | 13/5/2023. Yanga yatangaza ubingwa

Nina imani hukuangalia mchezo wa leo, ndiyo maana umemtaja Diarra. Kwa ufupi tu Metacha Mnata ndiye aliyedaka mwenye mechi ya leo.

Hata kwenye upande wa magoli; yote 6 yalikuwa ni magoli halali. Na usimhukumu mwamuzi wa watu. Maana alijitahidi sana kufuata sheria 17 za mpira wa miguu. Dodoma Jiji watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kulinda goli zao 2 walizowatangulia Yanga.
 
Yah sikuangalia mtani...
 
Eti watani wanasema TUMEBAHATISHAπŸ˜‰πŸ˜‰
 
Umebahatisha kamlupo kenye jezi ya alizeti?
Nipo hapa mikumi pub nabambia mashangazi tuu rafiki yaani shangwe la leo kwa wananchi warembo wanatususia mbususu tuu.
Poleni nyie wana simba....msajili vizuri next season sio somjo kibao mara lete mzungu sijui nini.
Yanga wana timu bwana, kwanza kipa tuu hatari, mayele akitetema nae balaa matiti ya warembo yanaruka ruka
 
Djigue Diara ametoka wapi leo?
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† akili zako uazijua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…