Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Umebahatisha kamlupo kenye jezi ya alizeti?Leo naona vibe hapa chamazi kama lote....jamani wananchi wana waremboooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebahatisha kamlupo kenye jezi ya alizeti?Leo naona vibe hapa chamazi kama lote....jamani wananchi wana waremboooo
Naweza kukuchekesha zaidi kama utakubali.Hahahahaah[emoji38][emoji38]
umenichekesha
Nipo salama kabisa mzee mwenzangu..!!Anhaa...
Nimesema nilikuwa napita pita humu ndio nikakuona.
Wewe na Carleen
Sasa ndio ni ka quote! Ila sijazeeka sana ujue.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Daah! Nimeona notification yako moyo wangu ukalia paaahh...Nipo salama kabisa mzee mwenzangu..!!
Nina imani hukuangalia mchezo wa leo, ndiyo maana umemtaja Diarra. Kwa ufupi tu Metacha Mnata ndiye aliyedaka mwenye mechi ya leo.Leo refa hajaamua game kweli?? Maana kama Dodoma wameweza kuchafua sheet ya jujui jiara..it means walikua walikua wa motoo sio kwamba hayo 2 ya Yang'a ni mbeleko 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 😆
Yah sikuangalia mtani...Nina imani hukuangalia mchezo wa leo, ndiyo maana umemtaja Diarra. Kwa ufupi tu Metacha Mnata ndiye aliyedaka mwenye mechi ya leo.
Hata kwenye upande wa magoli; yote 6 yalikuwa ni magoli halali. Na usimhukumu mwamuzi wa watu. Maana alijitahidi sana kufuata sheria 17 za mpira wa miguu. Dodoma Jiji watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kulinda goli zao 2 walizowatangulia Yanga.
Aisee...
Yeah!! Nipe nafasi niwafurahishe...Aisee...
Eti watani wanasema TUMEBAHATISHA😉😉Kumekucha tena wakuu, habari zenu wapenda soka? Ni imani yangu kua mko poa.!
Leo ndo ile siku ambayo wananchi wamekua wakiisubiri Kwa hamu kubwa. Si mlisikia kua kutesa Kwa zamu? Naam Yao imepita sasa ni zamu ya watoto wa Jangwani kula Utawala.
Leo jumamosi ya May 13 2023 kuna mtanange mkali sana, mchezo wa NBC PREMIERE LEAGUE kati ya Yanga sc kutoka mitaa ya karikoo Dar es Salaam dhidi ya Dodoma Jiji.
Huu utakua mchezo wa 28 kwa wote Yanga SC na Dodoma Jiji maarufu kama Walima Zabibu.!
Yanga sc mwenye pointi 71 akiwa anaongoza league atapambana kupata ushindi maana anahitaji pointi 3 tu ili afikishe pointi 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine kwenye ligi, hivo atakua ametangaza ubingwa na kutwaa taji la 29. Ubingwa huo utakua ni wa pili mfululizo baada ya mwaka jana kubeba taji hilo. Kwa upande wa Dodoma jiji wao wakiwa na pointi 31 watapigana wapate ushindi ili wajinusuru na kushuka daraja kwani japokuwa wapo nafasi ya 10 kati ya timu 16 zilizopo ligi kuu, Lakini tofauti yao na timu iliyo nafasi ya 13 kwenye mstari mwekundu ni pointi mbili tu!
Yanga sc waliotoka kupata ushindi wa 2-0 mechi iliyopita dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika kusini kwenye kombe la shirikisho barani Afrika watalazimika kushinda hii mechi ili kuhamishia nguvu kwenye michuano ya kimataifa kwani tayari wapo mguu mmoja fainali.
Mechi ya leo pia ni muhimu kwa mshambuliaji wao hatari Fistoni Kalala Mayele mwenye goli 16 akiwa ndiye kinara wa mabao mpaka sasa atatamani kufunga zaidi ili avunje rekodi yake ya magoli aliyofunga msimu uliopita ambayo ni goli 16, je Leo atatetema mbele ya Walima Zabibu? Tusubiri.
Mara ya mwisho hizi timu zilipokutana Dodoma Jiji alichezea kichapo cha bao 2-0. Shukurani Kwa Fistoni Mayele Kwa kupachika bao zote mbili wavuni.
Basi macho na masikio leo saa 10:00 jioni katika dimba la Azam Complex Stadium Chamazi. Updates zote utazipata kupitia huu Uzi..
Kila la kheri Wanachi [emoji169][emoji172]
#Daimambelenyumamwiko
Mchezo umeanza
1' Mayele anafika langoni kwa Dodoma, shuti lake linapaa juu
3' Dodoma wanapiga shuti off target
4' Dodoma Jiji wanapata kona ya kwanza
10’ Timu zote zinapishana kwenye kumiliki mpira
15’ ni mwendo wa unakuja, nakuja
20’ Mayele anakosa nafasi ya wazi akiwa na kipa wa Dodoma Jiji
26’ Yanga anapata kona, Azizi Ki anapiga natoka nje
29' Dodoma Jiji nao wanapiga pasi kadhaa
38' Musonda anaipatia goli la kwanza Yanga kwa shuti kali
45' Zinaongezwa dakika 2
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
50' Dodoma wanaendelea kutafuta goli la kusawazisha
59’ Collins Opare anasawazisha kwa kichwa
65’ Yanga wanaongeza nguvu kutafuta goli la kuongoza
67' Seif Rashid anaipatia Dodoma Jiji goli la pili
Amefunga goli moja zuri, kia Metacha alijua mpira unatoka.
70' Mudathir Yahya anafunga goli la pili kwa Yanga
89' Farid Musa anafunga goli la tatu kwa shuti kali
90' Mudadhir anafunga goli la nne kwa Yanga
Zinaongezwa dakika 4
FULL TIME
Mliwapa bahasha wakaze lakini wapi. Anaejua anajua tu.Hii mechi Dodoma wanashinda [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
BAHLABANE BA NTWA
Benchi sio masihara ndugu. Bora uambiwe mechi kadha hitacheza ujitayarishe kisaikolojia kuliko kuwa na tamaa kesho kesho.
Nipo hapa mikumi pub nabambia mashangazi tuu rafiki yaani shangwe la leo kwa wananchi warembo wanatususia mbususu tuu.Umebahatisha kamlupo kenye jezi ya alizeti?
Djigue Diara ametoka wapi leo?Leo refa hajaamua game kweli?? Maana kama Dodoma wameweza kuchafua sheet ya jujui jiara..it means walikua walikua wa motoo sio kwamba hayo 2 ya Yang'a ni mbeleko 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 😆
😆 😆 😆 😆 😆 akili zako uazijua mwenyeweNipo hapa mikumi pub nabambia mashangazi tuu rafiki yaani shangwe la leo kwa wananchi warembo wanatususia mbususu tuu.
Poleni nyie wana simba....msajili vizuri next season sio somjo kibao mara lete mzungu sijui nini.
Yanga wana timu bwana, kwanza kipa tuu hatari, mayele akitetema nae balaa matiti ya warembo yanaruka ruka
Yeah, mpira ulivyoanza jamaa alikosa confidence, ila baadae aliweza kumantain akanata na game!!Benchi sio masihara ndugu. Bora uambiwe mechi kadha hitacheza ujitayarishe kisaikolojia kuliko kuwa na tamaa kesho kesho.
Kwasababu wao sio malimbukeni wa ubingwa.... hadi halftime uzi bado kurasa 4 tu mechi ya ubingwa!! Kuna nini Utopoloni?
Umepotea njiaYeah!! Nipe nafasi niwafurahishe...
Muda sio mrefu pensheni inasoma
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile ap
Yanga hii ikienda kucheza EPL haiwezi kufanya vizuri lakini naamini haiwezi kushuka daraja.Unakonda Kutokea pande zipi ndugu mjumbe mfaransa mwenzangu?[emoji23]
Yanga kiwango chetu kwa sasa ni EPL[emoji91][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
View attachment 2620507
mwendo ni huu huu mpaka 2030 alafu tunampasia azamKawaida tuu sio ishu mbona?.ni kipindi chenu kama sisi tu tulivyowatesa kwa miaka mi Inne yani mi fooo yani mi4..