black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Mayele naeeeee[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kabisatunasubiri la 4
Kikosi chote ndio hiko usilete visingizio,bahasha tu ilikuwa haijanona ila mmeenda kuongeza mzigo mambo yamekaa poaUngeanza kwanza kujiuliza kikosi cha leo kinachocheza na Dodoma jiji. Halafu hao wasauzi walishakula chuma mbili na Yanga hiyo hiyo hivyo hata wao wanajua sio mechi rahisi kwao. Wanakazi ya kyfanya ili wapindue meza
Leo raha tupuNani kama Yanga????????
🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
Kafunga mangapi?Dk ya 93 Mayele amegusa mpira mara 11 tu!