Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mzuka tu huo umepanda..Azizi Ki kazi ya kucheza imemshinda sasa anavizia kibarua cha Gamond
Mzuka tu huo umepanda..Azizi Ki kazi ya kucheza imemshinda sasa anavizia kibarua cha Gamond
sio kitoto ndo uwezo wake umeishia hapoKabisa
Azam wanacheza kitoto na Gongowazi wakikazana wanaweza kurudisha bao lao
hatuombi tunaitafuta kwa jasho na damuWatu wanaomba sare leo
jambo la kher kabisaDk. 7 Za nyongeza
Mbona weooo....oyeyeeee...πππKasongo Yeye Mobali nangai..
Kasongo.Mbona Weπ€£π€£π€£π€£
Hizi ilikua kidogo mbona ziko nyingi sanaIlikuwa kidogo Yanga wapate goli.
na hawatoboiWameongeza dakika 7
Haya redio unazungumziaje hili?
Jana uliwaka sana kwenye zile 6, leo unalipi la kusema?
Azam wanacheza ujinga ujinga, hawastahili kabisa kupata point 3.Hizi ilikua kidogo mbona ziko nyingi sana