nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Azam wampunguze kasi Max, huyu ndiye hatari hapo utopoloni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
refa asisite kugawa njuguWachezaji wa Yanga wanamzonga refa ili apaniki lakiki Arajiga anasimama imara
Nimetoa maoni yangu baada ya kuona namna Azam FC wasivyo seriouswameingia pungufu
KwikwikwikwiKumbe Azam ina mashabiki wengi hivi maana humu ni wenyewe tu ndo wametawala.

Shanga tayari imekatika😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂
Leo Wataita Maji Mma
Friends of AzamKumbe Azam ina mashabiki wengi hivi maana humu ni wenyewe tu ndo wametawala.
kama hutojali wewe ni mwana yanga na mana yangu kukuliza mzee mwenzanguNimetoa maoni yangu baada ya kuona namna Azam FC wasivyo serious
Wanavyocheza utasema wameshinda bao 3 ama zaidi
Mashabiki wa kukodi🤣🤣Kumbe Azam ina mashabiki wengi hivi maana humu ni wenyewe tu ndo wametawala.
azam hata akiifunga yanga 10 bila, bado ni timu ndogo sana, naweza sema azam ni kiazi mviringo tu kwa yanga.