FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Yanga kama mnataka kufanya conference na kocha muda sahihi ndio huu.

Kwanza bado watu hawajatawanyika kila mtu anaweza kupatikana kirahisi.

Haya maswala ya kusubiria usiku wa manane ndio muanze kuitana sio jambo zuri.
 
Hela za kuleta matokeo zimeenda kujenga msikiti kibaigwa na zahanati ndiyo maana tunaona matokeo haya maana nguvu imeelekezwa huko hiyo project ikitick basi mambo yatakaa sawa kwa sasa tuvumiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…