FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
5,037
Reaction score
4,932
Klabu ya Young Africans (Yanga) leo, Septemba 15, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27.

Yanga inaingia katika mchezo huo ikiwa na rekodi nzuri baada ya kushinda michezo yake yote mitano iliyopita ya ligi na kukusanya pointi 15, huku Geita Gold ikiwa na pointi saba baada ya michezo mitano


KIKOSI CHA YANGA
 
Siku izi mashabiki wa Yanga hawana vibes kabisa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…