FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

Huyu kocha hana maisha marefu Yanga! Sub zake hazina mashiko hata kidogo. Mechi ni ngumu halafu unakaingiza katoto ka U20! Muda wote kanakimbia kimbia tu, huku Kangwanda amemuacha nje!!
Maisha yake mafupi sana Jangwani. Kocha hajui hata wachezaji wenye msaada mkubwa kwenye timu, Yeye akijisikia anaita yeyote tu nje na anaingiza yeyote anayemtaka. Kana kwamba huwa hasomi mchezo. Hajawahi kupatia Sub yoyote, Kila akifanya Sub tunaelemewa.

Huyu ataondoka mapema sana, tena hatoamini aisee. Kikosi hiki hata Minzirp angetamba nacho sana, sio yeye watu roho juu juu.
 
Alitakiwa aingize wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira, au wanaojituma sana ili kufidia gap la mchezaji aliyetolewa kwa kadi nyekundu.

Hii mechi Mzize wamemuomea. Hakitakiwa kicheza. Na kale katoto shombe shombe nako hakakutakiwa kucheza huku wachezaji wasoefu kama akina Sure Boy eti anawaacha nje! Huu ni zaidi ya ujinga.
Mpuuzi sana, alitaka kumrudisha Mzize majeruhi mapema kizembe.
 
Na lawama zote zingemuendea yeye. Timu iko pungufu, badala ya kuwaingiza wachezaji ambao wako fit kwa 100%, yeye anaamua kwenda na mpango wake ule ule alioupanga tangu mwanzo!
Kwamba he is not frexible? 🤣🤣
 
Maisha yake mafupi sana Jangwani. Kocha hajui hata wachezaji wenye msaada mkubwa kwenye timu, Yeye akijisikia anaita yeyote tu nje na anaingiza yeyote anayemtaka. Kana kwamba huwa hasomi mchezo. Hajawahi kupatia Sub yoyote, Kila akifanya Sub tunaelemewa.

Huyu ataondoka mapema sana, tena hatoamini aisee. Kikosi hiki hata Minzirp angetamba nacho sana, sio yeye watu roho juu juu.
Mbona gafla na wakati tulimsifia mpiga miti ni bingwa WA kufanya analysis mpaka kwa timu pinzani, yaani jamaa anaichambuabtimu pinzani mpaka familia walizotokea wachezaji. Halafu ashindwe kuielewa yanga? Wanautopolo msipoteze dhahabu hiyo kizembe
 
Na lawama zote zingemuendea yeye. Timu iko pungufu, badala ya kuwaingiza wachezaji ambao wako fit kwa 100%, yeye anaamua kwenda na mpango wake ule ule alioupanga tangu mwanzo!
Huyu kocha ni mzuri kwa kipindi cha kwanza ila kipindi cha pili hawezi kuusoma mchezo kujua mahitaji ya mchezo ni yapi na ni wa kina nani wana stahili. Yeye anaingiza kila mchezaji. Kuna uwezekano mkubwa sana kudondosha point viwanja vya mkoani. Hivi yule kocha wa Gaborone hawezi kuongeza kitu kwenye benchi la ufundi la Yanga? Naona kama ni kocha mwenye mbinu na anajua nini anatakiwa kufanya japo hakuna na quality players.
 
Kocha anamuingiza mchezaji kijana shombe shombe asiye na uzoefu wa mechi za ligi kuu huku timu iko pungufu, na ikiongoza kwa goli moja linaloweza kurudi muda wowote ule! Unamuingiza Mzize ambaye ametoka majeruhi ya muda mrefu, huku timu iko pungufu!

Mechi haina mvuto! Upuuzi tu.
Mashabiki wa utopolo hamna akili! Mtafukuza Kila Kocha
 
Huyu kocha hana maisha marefu Yanga! Sub zake hazina mashiko hata kidogo. Mechi ni ngumu halafu unakaingiza katoto ka U20! Muda wote kanakimbia kimbia tu, huku Kangwanda amemuacha nje!!
Nyie hamna akili mashabiki wa utopolo
 
Back
Top Bottom