chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,839
- 3,645
Sele hakuna mchezaji mule. Tulisema humu. Kasajiliwa kwa siasa za kukomoana.Tofauti ya Sele na Doumbia ni rastaa tu.
Sele hakuna mchezaji mule. Tulisema humu. Kasajiliwa kwa siasa za kukomoana.Tofauti ya Sele na Doumbia ni rastaa tu.
Hawa Geita ni 'Madenge' wanaocheza ligi kuu 😀Ni kama wamefundishwa kupiga pasi tu hakuna final outcome.
Wakawaida sanaa, hype kubwa ya mashabiki na viongozi tu.Sele hakuna mchezaji mule. Tulisema humu. Kasajiliwa kwa siasa za kukomoana.
Ngoja tuone second half, ila yanga ana possibilty kubwa kushinda regardless.Hawa Geita ni 'Madenge' wanaocheza ligi kuu 😀
MwalimuHii mechi hainivutii kabisa. Alichokifanya Aziz Kii kinamtenganisha na mchezaji wa hadhi na kiwango chake. Uko katikati ya uwanja, hakuna hatari yoyote! Unacheza rafu ya kijinga!
Wachezaji wanatengeneza nafasi! Wanakosa utulivu kwenye kumalizia!
yanga 1Naskia kelele huko..je kunaaaniii
Labda afunge mlango.Sele atafunga moja
Magoli mawili ya wazi amekosa. Bora awe anaanzia nje walau anaweza kuleta impact.Mwalimu
Sina uhakika sijui Kazimoto? Ila Mzize ameleta uhai kidogo.Unaanzisha uzi bila update asee.
Goal moja ndio nani kafunga???
KomaraUnaanzisha uzi bila update asee.
Goal moja ndio nani kafunga???