Bor ametoka. Kwa sababu alikuwa anazurula tuAziz Out
Imekuja mapema sana. Inabidi vijana wafungue turbo zoteHii Red Card ni noma sana.
Amemrahisishia Manqoba upangaji wa kikosi anachotaka, maana alikuwa analazimishwa tu ampangeAnawakosa Simba huyu
Jana na leo broMnazi Evelyn Salt upo uwanjani leo?
Tokea arudi kwa mara ya pili, ni kama bado anajaribu kukitafuta kile kiwango alichokua nacho awali, anapambana sana.Hana impact huyo akiwepo kama hayupo
Yes mimi ni Simba ila toka aanze kuwekwa kwenye rotation makali yenu kayapunguza kimtindoAmemrahisishia Manqoba upangaji wa kikosi anachotaka, maana alikuwa analazimishwa tu ampange
Na Chama ana miaka 35 ya vyeti bado halali haipo hapo 😆😆Tokea arudi kwa mara ya pili, ni kama bado anajaribu kukitafuta kile kiwango alichokua nacho awali, anapambana sana.
CC Chama amerudi akiwa bora zaidi unyamani, anavurugu balaa.
Shida ya Aziz Kii ni kuwa na mwili zembe. Asipofanya mazoezi ndani ya muda mfupi tu uzito unaongezeka mara dufu.Tokea arudi kwa mara ya pili, ni kama bado anajaribu kukitafuta kile kiwango alichokua nacho awali, anapambana sana.
CC Chama amerudi akiwa bora zaidi unyamani, anavurugu balaa.
Uzito naona sio tatizo sana, si unaona anavyotalii kwa kasi uwanjani? Shida ipo kwente utulivu. Tumpe muda kidogo tuone matokeo.Shida ya Aziz Kii ni kuwa na mwili zembe. Asipofanya mazoezi ndani ya muda mfupi tu uzito unaongezeka mara dufu.
Ni kama wamefundishwa kupiga pasi tu hakuna final outcome.Timu ndogo ni ndogo tu.
Wanashindwa kutumia numerical advantage!