Hapa Tanzania?Kama nyie mlivyonyoshwa muda mfupi uliopita?
Vipi lakini Berkane watakula tatu bila?Kila la heri kwa maafande wa JKT, tusaidieni kupunguza kelele mjiniView attachment 3337653
Ni leo mdau.Kesho tuwapasue jkt mambo yawe bien!
View attachment 3337655
Aaah qmmk kumbe siku ishaa pindukaπNi leo mdau.
Jioni ya leo
Watakula nne na hamtoamini macho yenuVipi lakini Berkane watakula tatu bila?
Kwa Simba hii hii?
Hiyo verse ya kwanza mbona kama kuna watu wanasimangwa