Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,835
- 8,418
Labda Mechi ikachezewe sudan 😂Watakula nne na hamtoamini macho yenu
Labda Mechi ikachezewe sudan 😂Watakula nne na hamtoamini macho yenu
LisipoanzaSema na wee jamaa kuna mda unataka tukutukane sasa 😂😂😂😂😂 mi sielewi masaa yako sijui yapoje mi kesho ni jua likianza kuwaka mkuu
Jua kuanza au kuwaka ni 22/7Lisipoanza
Watu wamechafukwa mkuu. Saa saba hii mtu anaanzisha thread inayohusu Murphy (mafi).Jua kuanza au kuwaka ni 22/7
Naona upo kuchangia mada za watoto wa dasalam et rafi road
Kwa huo muonekano tu inaonyesha hapo sio kwake. Amevaa magwanda kama kada wa chadema 🤣Tuta kolifai hapa hapaView attachment 3337667
😂😂😂😂😂😂😂 Oyaa aweee humu ndani kila mtu anajua mwenyewe..Watu wamechafukwa mkuu. Saa saba hii mtu anaanzisha thread inayohusu Murphy (mafi).
Ccm inazidi kujichotea followers
Kuna ile njemba ya kuitwa Mwachiluwi inapenda kuanzisha nyuzi za mavyakula. Kesho inaweza kuja na uzi wa jinsi ya kupika donati zisizo na tundu😂😂😂😂😂😂😂 Oyaa aweee humu ndani kila mtu anajua mwenyewe..
Mi nasubri ifike sa nane Madame B atoe nyuzi yake ya kutengeneza juisi ya tangawizi na unga wa peke za ubuyu
Siyo KMC wale😂Jirani ametuaibisha sana
Kwa huo muonekano tu inaonyesha hapo sio kwake. Amevaa magwanda kama kada wa chadema 🤣
Unaamka mapema sanaIla wewe.
Unajitoa ufahamu?
Karibu tufurahie show!
Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC nguvu moja...💪.Vipi lakini Berkane watakula tatu bila?
Kwa Simba hii hii?
Hawatujui vizuri hao Utopolo, This is Simba SC, The new champions of CAFCCL 2024/2025.Watakula nne na hamtoamini macho yenu