Kwan hiyo inamaana wamekufa kiume?😇Wanasema wamecheza vizuri kuliko wao 🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Hiyo verse ya kwanza mbona kama kuna watu wanasimangwa
Watu wana magubu ya usiku wa manane😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Kuna jamaa kanifata pm kanitukana huyo alafu hata sijaelewa shida ninu anasema et niache ujuaji
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌Watu wana magubu ya usiku wa manane
Kesho ishafika mkuu. Unamaanisha baadae au jumatatu?😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wamevurgwa so poa we ngoja tuone hiyo kesho
Badae mkuu...Kesho ishafika mkuu. Unamaanisha baadae au jumatatu?
Sema bahati haikua yetuNasikia mmecheza vizuri kuliko Waarabu
Kesho jumatatu au?Badae mkuu...
Mkuu kuna watu hapa mtaani wametukanana so poa aisee yaan kesho ntawapigia nyimbo za mnyama kama zote
Kama walivyokutonyoa wewe Huko uarabuni ndivyo Jkt kesho tunamtokonyoa kisindikizia ushindi wa Berkane. Yaani jkt amekuwa kifungashio chenu😂😂JKT wanyooshe hawa wa matopeni
Sema na wee jamaa kuna mda unataka tukutukane sasa 😂😂😂😂😂 mi sielewi masaa yako sijui yapoje mi kesho ni jua likianza kuwaka mkuuKesho jumatatu au?
Simba ana upala kama wa Mukwala