Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Sio naamka.Unaamka mapema sana
Jumamosi naamka kwenda wapi?
Muda ule nachat huku niko Club.
Hapa nilipo ndio natafuta njia ya kurudi nyumbani.
Sijui huyu bajaji kanipitisha njia gani
Sio naamka.Unaamka mapema sana
Ote naeMmebahatisha vyakutosha huko nyuma.
Uwezo wenu mdogo sana
Umetisha sana.Sio naamka.
Jumamosi naamka kwenda wapi?
Muda ule nachat huku niko Club.
Hapa nilipo ndio natafuta njia ya kurudi nyumbani.
Sijui huyu bajaji kanipitisha njia gani
Tutacheza hivyo hivyo 😎 😃😃Hali ya uwanja wa mkwakwani muda huu mvua ikiwa inanyesha.
View attachment 3337849
Bahati mbaya sana kwa Yanga waliozoea kucheza professional footballHali ya uwanja wa mkwakwani muda huu mvua ikiwa inanyesha.
View attachment 3337849
🤣🤣🤣🤣 Raha ya boli uwe neutral mzeyaJamaa unajua ku neutralise situations
Mwachiluwi na kupika kama vishu na ujinga..Kuna ile njemba ya kuitwa Mwachiluwi inapenda kuanzisha nyuzi za mavyakula. Kesho inaweza kuja na uzi wa jinsi ya kupika donati zisizo na tundu
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Au nakosea..Ila wewe.
Unajitoa ufahamu?
Karibu tufurahie show!
🤣🤣🤣Mwachiluwi na kupika kama vishu na ujinga..
Yaani anapenda hatari
Juzi nilikuta kule jukwaa la mapishi wanabishana jinsi ya kupika wali wa karanga na tangawiz