FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

Mpira unatuama kwenye maji mtangazqji anasema "wanaokoa JKt"anafanya si hatuoni
 
Pitch hii ya mkwakwani ni kama Benjamin kabisa watu wanafika wanashika nyasi na mikono wanakwambia hakuna maji
Hivi wanajua six meno inavyochimba !?
 
Nakubaliana na CAF pitch ya Aman iko iko vzr kuliko hizi za Tanganyika mvua kidogo zonageuka mashamba ya mpunga
 
Huo uwanja wa Mkwakwani ulifungwa kwa muda mrefu kwa ajili ya marekebisho, umekuja kufunguliwa juzi juzi, leo hii umegeuka shamba la mpunga. Nchi hii tuna shida kubwa kuliko tunavyodhani.
 
Dubeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Goaaaaaaaaaaaaaaaooooooooooo
 
Huo uwanja wa Mkwakwani ulifungwa kwa muda mrefu kwa ajili ya marekebisho, umekuja kufunguliwa juzi juzi, leo hii umegeuka shamba la mpunga. Nchi hii tuna shida kubwa kuliko tunavyodhani.
😃😃 Uliza Sasa hio bajeti iliyotumika, golini jkt pashakua tope tupu...
 
Back
Top Bottom