Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Wakubwa ni wakubwa tuuuu😒😒😒😒Washaharibu
Wakubwa ni wakubwa tuuuu😒😒😒😒Washaharibu
Mnadhani CAF hawana akili kama Magori?Dah huu uwanja n kisanga
Sasa mnakubaliana na CAF?Huo uwanja wa Mkwakwani ulifungwa kwa muda mrefu kwa ajili ya marekebisho, umekuja kufunguliwa juzi juzi, leo hii umegeuka shamba la mpunga. Nchi hii tuna shida kubwa kuliko tunavyodhani.
Nakubaliana na CASSasa mnakubaliana na CAF?
Uko wapi uje unitulie ✅
😃😃Nakubaliana na CAS
😁 😁 😁Gsm vs Gsm. Hamna kitu hapa
Kanuni za kuwa mkubwa unazifahamuWakubwa ni wakubwa tuuuu😒😒😒😒
Sijakuona long time.
😂😂😂😂😂Mubashara kutokea MkwakwaniView attachment 3338242