Nazingua kaka 😂😂😂🙌🙌🙌Au sio
Sa hv wangekuwa na magoli yao 3 ya janjajanja😂Hii nayo simba tungepewa penaltiy yetu
Mbili tu, tutawalipa jumapili ijayowewe mapenalt FC ukapigwa ngap
Pambaneni na hali zenuView attachment 3338276
Tuna shughuli muhimu na BerkaneFT yanga 2 JKT 0 kwenu Makolo mje mje msikimbie yanga kisha tangulia fainali
Mwachiluwi na kupika kama vishu na ujinga..
Yaani anapenda hatari
Juzi nilikuta kule jukwaa la mapishi wanabishana jinsi ya kupika wali wa karanga na tangawiz
Acha mkuuMchukue awe anakupikia mkuu
Hutaki mpishi? Awe anakupikia mautumbo anayachanganya na uyogaAcha mkuu
Njaa haina baunsa😂😂😂😂😂 Mambo ya ajabu hayo
Madame mda bado kwaniNjaa haina baunsa
Bado, yaani hapa nimelala tuMadame mda bado kwani
Wewe kuna siku majirani watakupiga 🙌🙌😂😂Bado, yaani hapa nimelala tu
😁😁Wewe kuna siku majirani watakupiga 🙌🙌😂😂
Madame mda huu mda huu...😁😁
Asa wanipigie nini mpwa?
Mie mchana nalala fofofo.
Usiku ndio mashetani yanaamka mwenzio.
Nitakukaribisha siku moja
Nipo nacheki movie hapa.Madame mda huu mda huu...
Tuamke kuwasha moto 🤣🤣🤣😂
Nipo road hapa na matunda ndo nageuza sasa....Nipo nacheki movie hapa.
Usingizi umekata kabisa