FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

Kama yanga wakishinda hii mechi basi tuseme ni uwanja utakuwa umewabeba na si uwezo wao, maana mara ya mwisho kucheza walitoka draw hivyo kwa matokeo yale tunaassume jkt na yanga wanatoshana nguvu si ndio, kama walivyosema kwamba siku ile kilichowabeba simba dhidi ya al masry ni uwanja maana uto ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia..
 
Wanasema wamecheza vizuri kuliko wao 🤣
1747576948645.jpeg

Tukumbushane parade yetu iliyofuatiwa na supu ya bure tuliyopewa na huyu mtukufu.
 
Kama yanga wakishinda hii mechi basi tuseme ni uwanja utakuwa umewabeba na si uwezo wao, maana mara ya mwisho kucheza walitoka draw hivyo kwa matokeo yale tunaassume jkt na yanga wanatoshana nguvu si ndio, kama walivyosema kwamba siku ile kilichowabeba simba dhidi ya al masry ni uwanja maana uto ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia..
Nyie siku hizi si mnabebwa na marefa,mnacheza vipindi vitatu.
 
Mimi nimeongelea caf mkuu, siongelei hizo timu mnazowaahidi pesa ili wacheze karate uwanjani na kupoteza muda, halafu marefa wakiwaadhibu kwa makosa yao mnalia simba wanabebwa
 
Umeongelea CAF kwenye kombe la CRDB,sasa kuna ajabu gani mimi kuongelea ligi ya NBC ambayo mnatembeza bahasha kwa marefa.
 
Back
Top Bottom