Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Yanga atafungwa. Atakuwa sawa na Simba. Halafu wataanza kuchekana
Kwisha habari yao utopolo.
Mshana Karibu nikuuzie fridge, freezer,tv ,ac nk
Yanga atafungwa. Atakuwa sawa na Simba. Halafu wataanza kuchekana
Kwisha habari yao utopolo.
Mshana Karibu nikuuzie fridge, freezer,tv ,ac nk
Kweli dunia Inaenda kasi sana kumbe mwakolobo ni dili😄😄😄Shinda mechi lakini robo fainali sahau
Ni kweli timu alizopqngiwa Yanga ni timu bora na ngumu ila Yanga inashindwa kuvuka kwasababu ya makosa binafsi ya wachezaji kiulinzi na kutumia nafasi. Mechi ya Al Ahly naona ikiisha kwa sareToka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.
All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Hatujifunzi, msimu ulioisha timu ilihitaji goli moja tu ili ifuzu lakini dakika 90 zinaisha hakuna hata goli. Msimu huu michezo mitano goli ni mbili tu, maanake timu inakuwa na muendelezo wa kutotumia nafasi ipasavyo kwenye klabu bingwa.Tuchukue msimu huu kama funzo. Inauma sana kuona tunatoka mapema licha ya kuwa na timu nzuri.
Kwangu sioni jipya twende tukakamilishe ratiba tu.
Imefanya uzembe mkubwa sana , tokea mechi ile ya Al Alhy Zanzibar baada ya sare ya kizembe nikaona kabisa hawapo seriaz kwenye mechi muhimu vibe y kuwaangalia tena nikakosa.Toka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.
All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
😂😂😂😂😂😂Toka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.
All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Yaani. Hatukupaswa kabisa kuanza kutembea na calculator.Imefanya uzembe mkubwa sana , tokea mechi ile ya Al Alhy Zanzibar baada ya sare ya kizembe nikaona kabisa hawapo seriaz kwenye mechi muhimu vibe y kuwaangalia tena nikakosa.
Yanga walianza vizuri mno na ilikuwa nanmhesabu rahisi sana kuvuka kundi ugumu wamejitakia wenyewe .
We nicheke tu. 🤣😂😂😂😂😂😂
Kufuzu mtafuzu nyinyi ila vichambo tutapewa sisi. Mkishindwa sasa aaaahhhhhh mtafute pa kujifichaWe nicheke tu. 🤣
Mh! mi nipo mbona kitambo ndugu mi sio mshamba kama wewe!..😅Wafu wamefufuka! Shikamoo VPN 🙌🏿🏃🏿😂
Acha kuongea lugha za kishetani. Simba ni timu teule!!Yanga nitaishabikia ikimchapa 5imba tu.