Mkuu hata na mie natamani iwe hivyo japo mpira haueleweki saa ingine ujue.Mechi ya kisasi hii leo Al ahly hawajasahau walichofanyiwa Morocco
Nahisi wanamaanisha kama hao ASFAR wakafungwa halafu na sisi tukapata ushindi wa bao moja.Uongoo Far rabat hajafuzu bado
Hiyo wataihesabia kama tukilingana kila kitu
Naam tusubiri tuone ila nmefurahi the way Al ahly nao walivyoichukulia hii mechiMkuu hata na mie natamani iwe hivyo japo mpira haueleweki saa ingine ujue.
Sema sisi mashabiki huwa tunasahau haraka unaona kama sasa hivi hawa kina Depu wanafunga funga basi wote tunafurahia na kusahau kabisa usanii usanii wa Injinia.Eng Hersi muda bado unao omba msamaha. Wananchi nje ya mpira bado tuna maumivu makali sana.
Wameichukuliaje Mkuu? Mi sijaonaNaam tusubiri tuone ila nmefurahi the way Al ahly nao walivyoichukulia hii mechi
Walionewa sana MoroccoWameichukuliaje Mkuu? Mi sijaona
Halafu ile biashara ni simpo sana. Droo tu kila mtu anafaidika. Hata kama ni wewe huwezi kumwacha mwarabu mwezioMpira biashara,kule misri biashara itafanyika!
Ila kwa yale mapokezi ya Al Ahly kwa AS FAR inanipa mashaka kuwa pengine wameamua kuwa waungwana na utofauti japo walifanyiwa undava kule MoroccoWalionewa sana Morocco
Mipira ilikuwa inarushwa mitatu mitatu uwanjani, walirushiwa hadi visu kutoka kwa mashabiki wa AS Far hapo ndo wachezaji walipoanza kukunjana
Kiufupi walifanyiwa fujo sana na hawajasahau maana waliomba kibali cha kujaza uwanja kabisa katika mechi yao ya leo hii kwani ina maana kubwa sana na wamepewa approval tayari
Kwahiyo leo tushindwe sisi tu Mkuu [emoji28][emoji28]
HUku kuna juaNa hii mvua.. hamtoboi
Litawaponza hilo 😁HUku kuna jua
Tuseme tawile 😁Litawaponza hilo 😁
Haiwezekani wengine tunyeshewe afu nyie mle bata..
Tawile mwanetu 😁😁Tuseme tawile 😁