FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

Huu mpira wa vipasi vifupi sijawahi na sitawahi kuupenda maana ni kupoteza tu muda bila hata kumpa mpinzani kashikashi yoyote huku mpinzani akiendelea kuwasoma taratibu mbinu zenu.
 
Dakika 17'
Krosi safi kwa mAngola wa Yanga Depu, JSK golikipa anaokoa
 
Dakika 19'

Max Zegeli anatumia fursa ya makosa ya JSK lakini haizai matunda
 
Dakika 21'

Pacome anaingia ndani ya box hatari hapa defence line ya JSK wanaokoa
 
Dakika 23'

Kona ya Israel Mwenda wa Yanga, kipa wa JSK anapangua
 
Hii mambo ya kukimbia Benjamin Mkapa sijui yanatokea wapi??????
 
Back
Top Bottom