Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Yanga kwisha habariTawile mwanetu 😁😁
Yanga kwisha habariTawile mwanetu 😁😁
Sijui kwanini nimecheka sana,but nimefrahi sana😍,Sema kama tukifuzu nadhani Timu yetu itakuwa imejifunza kitu.
Nikimaanisha hatutajaa kichwa tena tukianza vizuri mechi za mwanzo mwanzo.
Hakuna kisasi kwenye mpira. Yanga kwenda Mwakalobo Inahitaji bahati na huwa inatokea.Mechi ya kisasi hii leo Al ahly hawajasahau walichofanyiwa Morocco
Hahahaa. Ushasahau kama umeishia makundi.Nikupe Cha kuandika?
NI ishara kwamba damu ya MO29 bado inamlilia Mungu for justice.Azam kashapigwa, tunaweza kuishia hapa kwa timu zote 4.
Sisi tutoe hebu.Azam kashapigwa, tunaweza kuishia hapa kwa timu zote 4
Kiongozi umri wako sio wa kufanya ulozi mkuu 😀😀😀😀Kamilisha ratiba urudi mavumbini
Nilishastaafu mkuu wangu😂Kiongozi umri wako sio wa kufanya ulozi mkuu 😀😀😀😀
Hahahaa! Mie nkajua alishakusurprise muda eti. 🤣🤣Sijui kwanini nimecheka sana,but nimefrahi sana😍,
Aisee Kuna kivuruge wangu kani supries🥰
Sasa tulieni muangalie game ya viwango vya duniaNilishastaafu mkuu wangu😂
Umewahi kucheza mpira?Inatokea kwenye mpira. If you are man of the game
Usichoelewa nini wakati una forward mbovu?We nae mbona hueleweki.
Hahahah,Wala hata hakuniambiaga,yaani yule daah😍Hahahaa! Mie nkajua alishakusurprise muda eti. 🤣🤣
Na mie pia nilifurahi siku naambiwa. Haya karibu sana kwetu. 🥰
Hahahaaa. Itakuwa alikuwa anasahau.Hahahah,Wala hata hakuniambiaga,yaani yule daah😍
Ahsante nitakaribia🙏