Naona Al Ahl karelax sana. Atakuwa anataka droo tu aongoze kundiHahahaaa. Daah.
Ujinga wa kina komwe!Hii mambo ya kukimbia Benjamin Mkapa sijui yanatokea wapi??????
Bila upendeleo... Hakuna Max Nzengeli hakuna Yanga. Hesabu ni pasi ngapi anakamilisha na pasi ngapi anapoteza.Naona kuna baadhi ya wachezaji wa YANGA wameshaanza kuizoea timu na wanacheza kwa mazoea inabidi watemwe au wauzwe msimu ujao mmojawapo akiwa ni Max Nzengelu ameshaishiwa PAWA HUYU.
Kocha huyo ndiotatizo Yanga.Naona kuna baadhi ya wachezaji wa YANGA wameshaanza kuizoea timu na wanacheza kwa mazoea inabidi watemwe au wauzwe msimu ujao mmojawapo akiwa ni Max Nzengeli ameshaishiwa PAWA huyu dogo.
Ujinga wa kina komwe!
Hapa umeongea kitaalam Sana... Naomba usikutane na Mzee Mpili maana atakubadili msimamo.Wachezaji wetu wa Yanga wana viwango vya kawaida sana ni wa kutambia NBC ila sio kwa kimataifa.
Hayo ndio mawazo yako kwasababu haupendi ukweliNilimaanisha we ni Kolo acha kujifanya Mwananchi.
Hawajui tu wanavyotukera. Lol.Naona Al Ahl karelax sana. Atakuwa anataka droo tu aongoze kundi
Mimi kiukweli bado sijaachilia kabisa. Alitunajisi sana mashabiki wa hii timu kuttunganisha na ule ushetani.Sema sisi mashabiki huwa tunasahau haraka unaona kama sasa hivi hawa kina Depu wanafunga funga basi wote tunafurahia na kusahau kabisa usanii usanii wa Injinia.
Tume ya Samuya inabidi iwahoji wachezaji, makocha na viongozi wa timu zote zilizoshiriki champions na confederation cup ya CAF musimu huu kama matokeo yao mabaya kwenye michuano hiyo yametokana na simanzi ya octoba 29.😀😀Hakuna timu ya tanzania itakayopita, nchi inanuka damu hadi haki itendeke.