Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Mwenye msimamo wa kundi la Utopolo atuwekee hapa
Uto wameumaliza mwendoAhly 9
Far Rabat 8
Yanga 8
Js Kabylie 3
Wale jamaa hawana historia ya kufungana ndani ya dakika 90.Yanga ashide goal 5 kule Egypt matokeo yabaki 0-0 hakika weekday itaenda vizuri
Mpaka sasa far rabat anapoint 9 sio 8, labda afungwe goliAhly 9
Far Rabat 8
Yanga 8
Js Kabylie 3