cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
ππππππ nini jamaniiiii??Uchawi ni Dhambi mbaya sana
ππππππ nini jamaniiiii??Uchawi ni Dhambi mbaya sana
ππππππ nini jamaniiiii??
Kule misri ni bila bila, sasa hii al ahaly inayoongoza moja sijui ni ya wapiππππππ nini jamaniiiii??
Hali ikoje hukoooo cairo???Mechi Bado inaendelea Cairo!!
Tunakufa kiumeNa hili linawezekana sana tu na nikishaliwaza huwa najikuta nazidi kuishiwa pawa.
This time mahesabu yamekuwa magumu sana kwetu timu ya Wananchi.
Nikimaanisha kukaa kusubiri mtu apoteze hiyo ni shughuli eti.
Kwamba ndio Yanga wataenda hatua ya robo fainali?Al ahly anaongoza bao 1,
Mbona siioniWauweeeeeeeeeee
Siku ukituelewa na Mailavu akee niite mbwa nimekaa paleeeeeMbona siioni
Cc; mtu fudenge
Walikuwa wanabeza sana jambo hilo kwa Simba hawa vilaza wa Utopolo.Kuna watu wanaenda kufa kiume, kweli malipo hapahapa duniani
Ishapita hiyo hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Kwamba ndio Yanga wataenda hatua ya robo fainali?
FAR sio wapumbavu kama Yanga walioshindwa kutumia uwanja wake WA nyumbani
πππππππ ya Mtoni Kimbijiii.Kule misri ni bila bila, sasa hii al ahaly inayoongoza moja sijui ni ya wapi