cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
πππππππChumaaaaa π€£π€£π€£.
Al ahly 1.
Acha kuota
πππππππChumaaaaa π€£π€£π€£.
Al ahly 1.
Acha kuota
Usinene ukamalaa, utashangazwaaaa!!!π€£π€£π€£.Chuma 3 ila hazina msaada . yaani UHAI wako unashikiliwa cairo
Hakuna miujiza hapo.waarabu wanajua wanachofanya.hawawezi kuumizana kisa utopoloUsinene ukamalaa, utashangazwaaaa!!!
ππππππ
Kuna wakati una tija, inategemea tuhuku klabu bingwa ufungaji wa magoli mengi sio tija
nilijua tuh hii kitu yanga inawatokea puwani
Dkk zote hizo za nini jamaniii? Refa anazingua huyuu.Hakuna miujiza hapo.waarabu wanajua wanachofanya.hawawezi kuumizana kisa utopolo
ndio mambo ya klabu bingwa nduguAl wamekosa goli la wazi
Hata 100 hawafungani hao.Dkk zote hizo za nini jamaniii? Refa anazingua huyuu.
toka kipindi kile yanga inawafunga wachunga ngamia wa somali goli 9 nilijua tuh hawa jamaa hawajui mambo ya klabu bingwaKuna wakati una tija, inategemea tu