mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Walijua mapinduzi CUPYanga wanaenda 1/4 fainali kibabeeee 😄😄😄😄
Walijua mapinduzi CUPYanga wanaenda 1/4 fainali kibabeeee 😄😄😄😄
😂😂😂😂😂Ila Azam ana afadhali kidogo
Leo mbona haujaweka?Siku ukituelewa na Mailavu akee niite mbwa nimekaa paleeeee
Hurrrayyy yanga hurrraaayyy
Sasa ndo uburuze mkiaBaba na watoto wafe kwa ugonjwa wa kuambukiza mama apone haiwezekani.Mwaka wa pili mfululizo Uto robo fainali ataisikia tu.Kuingia robo fainali sio kwa kila timu.
Toka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.
All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Una akili nzuri kama sura yakoToka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.
All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.