😂😂😂😂😂😂Ha
Hata 100 hawafungani hao.
Wanajua kucheza kutafuta goli na wanajua kucheza kupata sare.
Wee mbona unachanganyaaa wajaaa?? KhaaahAl Ahly kapata penati
Niliwahi kusema mapema kabisa kwamba Kwa kundi lilivyo,Timu zote za Tanzania zitatoka na ndivyo imekuwa.
Wapi Zanzibar 🤣🤣🤣Ngumi zinaendelea hapa uwanjani..
Natamani mngekuwa hapa ground.
Refa kafuatwa na Walinzi zaidi ya Kumi..
Mtegemea cha nduguye, hufa maskiniii.Daah! Hawa Al Ahly wanakera sana aisee. Mfffyuuu.
Huku CairoWapi Zanzibar 🤣🤣🤣
Utopolo wanataka mechi ya Al ahly na far Rabat iendelee kipindi Cha 3Ngumi zinaendelea hapa uwanjani..
Natamani mngekuwa hapa ground.
Refa kafuatwa na Walinzi zaidi ya Kumi..
Wote wametolewaaaaa, 😂😂😂😂😂Singida amebaki?