FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

Kocha Yanga takataka.
Ukiona kocha anapaki basi iwe mechi ya home ama away,ujue huyo ni takataka.
KOCHA NDIO KAIKOST TEAM.

Huyu ni Hemed morocco aliyechangamka. 🚮
Huu ni ugonjwa wa matimu mengi ya hapa Tanzania,mtu anaenda ugenini eti akatoe sare hapo anaishia kucheza defensive game na lazima apigwe.

Wenzie wakija Bongo wanapambana kutafuta matokeo na wanapata.

Huu upumbavu usupoisha mitimu yetu itakuwa inaishia makundi.
 
Wameogaaaaaaaaaa
Wamevaaaaaaaaaaaa
Wamependezaaaaaaaa

Mjiniiiiiiiii hawaendiiiiiiiiii.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huu ni ugonjwa wa matimu mengi ya hapa Tanzania,mtu anaenda ugenini eti akatoe sare hapo anaishia kucheza defensive game na lazima apigwe.

Wenzie wakija Bongo wanapambana kutafuta matokeo na wanapata.

Huu upumbavu usupoisha mitimu yetu itakuwa inaishia makundi.
Mbona Ahly wanafanya hivyo na wanafanikiwa tu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom