FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

Dakika 36'

GOOOOAL Depu mchezaji wa kimataifa wa Yanga kutoka Angola anafunga penati baada ya Pacome kuangushwa

Young Africans 1 -0 JS Kabylie
 
Dakika 37'

Pacome majeruhi anakwenda benchi Mudathir Yahya anachukua nafasi ya mu-Ivory Coast Zouzoa Pacome
 
Dakika 40'
Mzimbabwe Prince Dube anawatoka walinzi wa JSK lakini shuti lake linakatika na kutoka nje
 
Dakika 42'

Allan Okello anapiga krosi inambabatiza kipa wa JSK na walinzi wake wanaokoa hatari nyingine za Yanga

Young Africans 1 - 0 JS Kabylie
 
Dakika 45' +

Dube anawatoka tena defence ya JSK anamtizama Ben kipa wa JSK anaokoa inakuwa kona

Young Africans 1 - 0 JS Kabylie
 
Dakika 47'
JSK wanapata freekick, shuti linatoka nje

Young Africans 1 - 0 JS Kabylie
 
HALF TIME

Dakika 49'

Mapumziko, goli la muAngola wa Yanga Depu linawapeleka mapumziko wenyeji wakiwa mbele kwa goli moja

Young Africans 1 - 0 JS Kabylie
 
Yanga ashinde mbili kule Rabat nimeona wanashambuliwa sana wanaweza kufa
 
Hizi unaweza kuzifunga kwenye Ungo kweli? 90% ya mda wa Mshana Jr anatumia angani
Hahahaha.. Nimekumbuka mbali sana
de14b36a-91ae-4591-984c-90334fa2ad45.jpeg
 
Back
Top Bottom