FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

Tuchukue msimu huu kama funzo. Inauma sana kuona tunatoka mapema licha ya kuwa na timu nzuri.
Kwangu sioni jipya twende tukakamilishe ratiba tu.
 
Toka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.

All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Ni kweli timu alizopqngiwa Yanga ni timu bora na ngumu ila Yanga inashindwa kuvuka kwasababu ya makosa binafsi ya wachezaji kiulinzi na kutumia nafasi. Mechi ya Al Ahly naona ikiisha kwa sare
 
Tuchukue msimu huu kama funzo. Inauma sana kuona tunatoka mapema licha ya kuwa na timu nzuri.
Kwangu sioni jipya twende tukakamilishe ratiba tu.
Hatujifunzi, msimu ulioisha timu ilihitaji goli moja tu ili ifuzu lakini dakika 90 zinaisha hakuna hata goli. Msimu huu michezo mitano goli ni mbili tu, maanake timu inakuwa na muendelezo wa kutotumia nafasi ipasavyo kwenye klabu bingwa.
 
Toka mwaka jana tushindwe kuipata ile point moja kwa sasa najikuta nakosa cha kuandika.

All in all Kila la kheri Timu ya Wananchi.
Imefanya uzembe mkubwa sana , tokea mechi ile ya Al Alhy Zanzibar baada ya sare ya kizembe nikaona kabisa hawapo seriaz kwenye mechi muhimu vibe y kuwaangalia tena nikakosa.

Yanga walianza vizuri mno na ilikuwa nanmhesabu rahisi sana kuvuka kundi ugumu wamejitakia wenyewe .
 
Yaani. Hatukupaswa kabisa kuanza kutembea na calculator.
 
Mpira biashara,kule misri biashara itafanyika!
 
Nasikia kwa kanuni za CAF Yanga hata washinde Leo magoli mia, hawaendi robo fainali kwa kuwa hawana goli hata moja la ugenini.

Kuna ukweli wowote katika hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…