FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Kumbe Gamondo ni Sawa sawa na Robertinho tu maneno miiingi lakini uwezo sufuri.
 
Kila laheri wawakilishi wa Tz...
 
Mkuu Goguryeo, nakualika mapema kwenye huu mtanange.
Ukiwepo kindly tupe vitu
 
Mshindwe wenyewe tu!! Madeama hata kwenye 30 bora za Afrika haimo!! Na mkiiangusha ni sawa na kusukuma mlevi, msidai sifa yoyote!!
Mediema ni mashujaa fc iliyo changamka๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“

Yanga mdomo Huwa unawaponza all in all nikiwa kama Simba sc๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช tunawatakia Kila la kheli ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Hivi ndivyo jinsi Medeama atavyomchezea chura kwa Mkapa leo
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ