FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Kumbe Gamondo ni Sawa sawa na Robertinho tu maneno miiingi lakini uwezo sufuri.
 
Kumbe Gamondo ni Sawa sawa na Robertinho tu maneno miiingi lakini uwezo sufuri.
Sawa
JamiiForums64784229.jpg
 
Mshindwe wenyewe tu!! Madeama hata kwenye 30 bora za Afrika haimo!! Na mkiiangusha ni sawa na kusukuma mlevi, msidai sifa yoyote!!
Mediema ni mashujaa fc iliyo changamka🤓🤓🤓

Yanga mdomo Huwa unawaponza all in all nikiwa kama Simba sc💪💪💪💪 tunawatakia Kila la kheli 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Hivi ndivyo jinsi Medeama atavyomchezea chura kwa Mkapa leo
 
Back
Top Bottom