FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Bwana wee toka mwanzo hawa uto walipanga kupata point 6 kwa Madeama kwa sbb waliona wana wamudu...so kwao ni kibonde wao na timu yotee..ndo kibonde huyu...
 
Hapana toka mwanzo tuliwaambia hawa mkishindwa kuwamenya ndo basi tena..toka first tym mmepangwa nao...na nyie pia mlijipangia kupata point 6 kwao ila mmeambulia 4..
Hahahaha 🤣🤣🤣 mtani naomba useme hapa kama tutatoboa robo fainali au tutaishia hapa ?
 
Back
Top Bottom