FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Leo baada ya utopolo kupigwa na mwiko wao wa nyuma ...pia kulitia aibu taifa mm nitakua nacheza km wale wazee wa makoti Miso misondo hahahaa miso hivi yanga wamepigwaje pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mshindwe wenyewe tu!! Madeama hata kwenye 30 bora za Afrika haimo!! Na mkiiangusha ni sawa na kusukuma mlevi, msidai sifa yoyote!!
Kilaza wa umbumbuni at work, 30 Bora ndio zinacheza mpira, mbona umecheza na wydad iliyo juu kwenye rank za miaka 5 iliyopita lakini kiwango Chao kwa sasa ni Kama Dodoma jiji na walitandikwa na jwaneng ambayo aijulikani? Mbona rank azikumuokoa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayelee jana haamini ksbisaa.
Utaaminije wakati watu wanacheza kama wako kwenye homeground, possession ya 68 kwa 32, na hawabutui. Licha ya mechi ya kwanza kuisha droo nilijua bado game ngumu kwa pyramid. Na asipoangalia pyramid haendi robo maana sidhani kama mazembe atalegeza na hivi atakuwa home
 
Uto wasikamie,wakikamia tu watakula za kutosha. Utakuwa mwisho wao
 
Tuachane na hayo yote, tujadili hiyo angle VIP C!
Kumbe na wewe ni kama mimi? Nisipochukua tiketi ya VIP A basi ni C, kuna view nzuri mnooo ya uwanja.
 
Kilaza wa umbumbuni at work, 30 Bora ndio zinacheza mpira, mbona umecheza na wydad iliyo juu kwenye rank za miaka 5 iliyopita lakini kiwango Chao kwa sasa ni Kama Dodoma jiji na walitandikwa na jwaneng ambayo aijulikani? Mbona rank azikumuokoa?
Hujui mpira!! Kwa akili yako Medeama ndo walitakiwa kuwa Pot 1 kwenye draw ya makundi au? Mpira ni sayansi na una ramani!! Tofautisha kati ya CLASS na FORM!! CLASS ya Medeama haina tofauti na Mashujaa wa kigoma!! CLASS IS PERMANENT, FORM IS TEMPORARY!!
 
Mshafikia malengo inabidi mtoke tu mjiandae kwa mwakani, robo fainali sio level zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…