Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
NopSio hivyo jamani, tuwaombee mema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NopSio hivyo jamani, tuwaombee mema.
Unaumwa ugonjwa wa akiliKwa taarifa yako Mechi ya Yanga itaahirishwa. Mpaka Ahly acheze Beduilazad ndipo mcheze na Medeama, usijisumbue leo hakuna Mechi Mkuu, soon CAF watatoa tamko.
Leo mtani mnachezea ww jiandae kisaikolojiaPiga ua galagaza, iwe mvua iwe jua, watake wasitake, Yanga lazima washinde leo.
Madunduka ondokeni kwenye uzi wetu, mtaitia nuksi timu yetu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wooooiiiiii!!Hukuona missed calls
Itakuaaa.Wamekudanganya hao
Hebu nijie taratibuu wee baba, umevurugwaa? Una stress?Madunduka ondokeni kwenye uzi wetu, mtainia nuksi timu yetu...
Saa Moja tena?Mechi ni saa 1 Usiku acha ubishi.
Kilaza wa umbumbuni at work, 30 Bora ndio zinacheza mpira, mbona umecheza na wydad iliyo juu kwenye rank za miaka 5 iliyopita lakini kiwango Chao kwa sasa ni Kama Dodoma jiji na walitandikwa na jwaneng ambayo aijulikani? Mbona rank azikumuokoa?Mshindwe wenyewe tu!! Madeama hata kwenye 30 bora za Afrika haimo!! Na mkiiangusha ni sawa na kusukuma mlevi, msidai sifa yoyote!!
Utaaminije wakati watu wanacheza kama wako kwenye homeground, possession ya 68 kwa 32, na hawabutui. Licha ya mechi ya kwanza kuisha droo nilijua bado game ngumu kwa pyramid. Na asipoangalia pyramid haendi robo maana sidhani kama mazembe atalegeza na hivi atakuwa home[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayelee jana haamini ksbisaa.
Nchi hii ngumu kufanya kazi na mashabiki wa SimbaBodi Yao si imebadilishwa lakini wamekata umeme hii nchi imelaaniwa
Tuachane na hayo yote, tujadili hiyo angle VIP C!Pamoja na hayo, Mazingira ni factor kubwa sana katika mchezo wa Mpira.
Kule Kaskazini ni msimu wa baridi,huku kwetu ni msimu wa Joto, hata kama wanamazoezi lazima wapate hiyo challenge.
Hata Beluzidad wangenguja msimu huu kwa Mkapa saa kumi jioni, ingekuwa advantage kwa Yanga.
Ziwezi kuvaa jezi ya Yanga, na hakuna atakayenizuia as long nimelipia.
Labda wa Mzunguko(Bure)ndio lazima wavae Jezi.
Mimi kuna Angle ya V.I.P C huwa naipenda sana! inanipa clear vision.
Hujui mpira!! Kwa akili yako Medeama ndo walitakiwa kuwa Pot 1 kwenye draw ya makundi au? Mpira ni sayansi na una ramani!! Tofautisha kati ya CLASS na FORM!! CLASS ya Medeama haina tofauti na Mashujaa wa kigoma!! CLASS IS PERMANENT, FORM IS TEMPORARY!!Kilaza wa umbumbuni at work, 30 Bora ndio zinacheza mpira, mbona umecheza na wydad iliyo juu kwenye rank za miaka 5 iliyopita lakini kiwango Chao kwa sasa ni Kama Dodoma jiji na walitandikwa na jwaneng ambayo aijulikani? Mbona rank azikumuokoa?
Azam anawakandia Yanga kijanjaUnaumwa ugonjwa wa akiliView attachment 2847830
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa bhana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa ni mie eti, leo natamani Yanga ashindee.