Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sisi sio wageni na nyieHahahaaaa. Muone. 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi sio wageni na nyieHahahaaaa. Muone. 🤣
Madeama sio Azam ndugu, wapo bongo kuchukua point 3 na kushika usukani kwa group D, Uto mtabaki mkiani daima.Matokeo .....
Yanga 3 ...... medeana 1
Shida mashabiki wa Utopolo huwa mnaenda na matokeo yenu uwanjani.Hao matapeli Leo hapa wamaedandia mtumbwi wa vibwengo
Sisi 3
Medeama 1
😂😂Ukatabasamu ili iweje?
Tunawajua nyie hata matokeo yakija mmefungwa ila kama kawaida yenu mtaridhika na performanceHaya bana.
Kukazia tu matokeo ndo hayo leo.
Mkuu hata na mie hizi tatu nimeziona.Matokeo .....
Yanga 3 ...... medeana 1
Madema nao wana Mungu.Yanga atafungwa 2 kwa moja
Sasa tukicheza vizuri tusiseme Mtani?Tunawajua nyie hata matokeo yakija mmefungwa ila kama kawaida yenu mtaridhika na performance
Mimi naliona 1 la Madeama, Yanga naiona performanceMkuu hata na mie hizi tatu nimeziona.
Leo tutaenda sambamba humu mpaka kieleweke....Heee! Eti aibu ya karne. Lol.
Chukua hii Matokeo ya leo FT 3 - 0. 😎
Baadae olewako ukimbie hapa jukwaani wewe muhasibu wa mchongoAcha kupotosha mzee. Wawakilishi wa Uto hawawezi kuwa wa Tz
Acha uchawiYanga nawatakia kila la kheri[emoji169][emoji172][emoji7]
Sa ndio mfurahi kuliko walioshinda?Sasa tukicheza vizuri tusiseme Mtani?
Yanga 5- 1 Madeama
Mmevuta bangi za wapi ndugu zetu?Hii dharau chama langu litaijibu kwa vitendo leo Medeama lazima afe Young Africans 5-0 Medeama [emoji617][emoji617][emoji617][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Kama wewe hutasubiri mpaka mfunge ndio utokee, basi na mimi sitakimbiaBaadae olewako ukimbie hapa jukwaani wewe muhasibu wa mchongo