FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Kwa sasa habari ya mjini ni Mayele. Anapiga chenga mpaka golikipa.
Kaifate comment yangu ya nyuma niliyoandika kuhusu vibaiskeli vya Mayele.

Nimegundua kuwa Mayele ni big fan wa Sakho ila inachoonekana ni kwamba anajaribu kufanya anachofanya Sakho bila kumshirikisha ili apewe usaidizi na ndio maana ulikiwa unaona akipoteza mipira
 
Kuna muda mwingine uone aibu kuandika mashudu
 
Hawa kagera vipi tena? Hawajui kama tuna mechi muhimu jumapili, msituumizie wachezaji wetu jamani
 
Nasikia mashabiki wanapiga kelele za " tunamtaka....... Zuwena! Tunamtaka....... Zuwena!!" πŸ˜ƒ
 
Makocha wa hizi timu ndogo mi wanishangaza sana. Ukicheza na Simba au Yanga haupaswi kucheza standard football ya short passes, inatakiwa ucheze pasi ndefu na kujaribu ukifika ndani ya 18.
Kuanzia makocha wazawa hadi wachezaji wazawa kuna shida kubwa. Juzi juzi niliahidi kuja na uzi kuwahusu makocha wazawa nikitulia nitauandika.
 
Mipasho waachie akina Zuchu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…