Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kaifate comment yangu ya nyuma niliyoandika kuhusu vibaiskeli vya Mayele.Kwa sasa habari ya mjini ni Mayele. Anapiga chenga mpaka golikipa.
Nimegundua kuwa Mayele ni big fan wa Sakho ila inachoonekana ni kwamba anajaribu kufanya anachofanya Sakho bila kumshirikisha ili apewe usaidizi na ndio maana ulikiwa unaona akipoteza mipira