FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Nimeamini timu hizi za Tanzania zisizo na wachezaji kutoka nje ni pa kujipigia aisee..ww angalia timu kama Singida...Ihefu na Azam huwezi kuta huu urojo kama wa leo...😀😀😀😀
 
Huyu mchambuzi ni team jangwani huyu, yaani anaelezea upande mmoja tu wa Yanga, kagera amegusa sehemu moja tu tena kwa kuwa kuna faulo imechezwa kwa mchazaji wa Yanga 😀!.
 
Back
Top Bottom