kikokotoleo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 465
- 417
Mechi magoli magumashBoli linatandazwa na Wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi magoli magumashBoli linatandazwa na Wananchi
Agiza chochote unakunywaa,nakuja kulipa☺☺☺☺☺☺☺☺☺
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
Kwa hali ya team zetu kubwa zilivyo na wachezaji wengi wa kigeni, na wanacheza nafasi za ushambuliaji lazima waongoze kwa kufunga, na tunajisifu kwamba tumesajili mitambo ya magoli, ili hali tunadidimiza viwango vya wazawa na walio wengi wanacheza kama viungo wakabaji si rahisi waongoze kwenye ufungaji. Hata hao wazawa wachache wanaocheza nafasi za ushambuliaji wanakabiliana na ushindani wa namba kwenye team zao kwani wapo wengi wenye viwango vya juu kuwazidi wao. Zinahitajika juhudi za ziada kuthibitisha uwezo wao ili waaminiwe na team zao wapate nafasi ya kufunga. Ni mtazamo wangu tuMpira wa TZ kwishne .... huku Uto mechi 2 wachezaji wa kigeni wanafunga goli zote 6, na kule Simba mechi 2 magoli yote 7 wanafunga wageni
Bila shakaNamfananisha, au ni yeye?
Asante jirani, uko poa. Yanga inazidi kutupa furaha siku baada ya siku...Agiza chochote unakunywaa,nakuja kulipa
Mipasho muachie zuchu yakhe [emoji23][emoji23][emoji1787]Anhaa kumbe ni huyu rasta
Wakati naondoka nilimuacha akiwa amepata nafasi 7 za wazi
Na takwomu zinasema kwenye nafasi 10 lazima akupige goli 1
So kumbe nilivyotoka, hapo katikati kulikuwa kuna nafasi zingine 3 ali miss.
Well done hii ndio aina ya striker ambaye anastahili kucheza kwenye Club hii kutokana na hadhi ya Club.
Mayeleeeeeeeee
Wanawake wazuri wapo yanga tu [emoji41]Asante jirani, uko poa. Yanga inazidi kutupa furaha siku baada ya siku...
Furaha ya kutosha,waje ata man City tuwachape ata kesho,tunyooshe viungo kwa ajili ya makoloAsante jirani, uko poa. Yanga inazidi kutupa furaha siku baada ya siku...
Baba Swalehe kasema nani mwingine apinge? 🔥🔥🔥🔥Wanawake wazuri wapo yanga tu [emoji41]
Nakupenda pia mama bulubendi [emoji7]Kumbe ndio maana nakupenda [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Tualdiscuss goal. La Aziz ki inbox [emoji16][emoji16]Baba Swalehe kasema nani mwingine apinge? [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Makocha nao wawe wazawa ndio wataaminiwa bila hivyo bure kabisa.Kwa hali ya team zetu kubwa zilivyo na wachezaji wengi wa kigeni, na wanacheza nafasi za ushambuliaji lazima waongoze kwa kufunga, na tunajisifu kwamba tumesajili mitambo ya magoli, ili hali tunadidimiza viwango vya wazawa na walio wengi wanacheza kama viungo wakabaji si rahisi waongoze kwenye ufungaji. Hata hao wazawa wachache wanaocheza nafasi za ushambuliaji wanakabiliana na ushindani wa namba kwenye team zao kwani wapo wengi wenye viwango vya juu kuwazidi wao. Zinahitajika juhudi za ziada kuthibitisha uwezo wao ili waaminiwe na team zao wapate nafasi ya kufunga. Ni mtazamo wangu tu
Zote zilikuwaa sahihiHaya wewe angel tuambie mwenzetu ambayo haikufaa kuwa penalty ni ipi?
Wazawa ndo akina feitoto amegoma na wewe unashangilia kugoma kwakeMpira wa TZ kwishne .... huku Uto mechi 2 wachezaji wa kigeni wanafunga goli zote 6, na kule Simba mechi 2 magoli yote 7 wanafunga wageni
Usijitoe ufahamu, hawahawa wazawa wa Kagera Sugar wanakukamuaga, au umesahau mara hii?Nimeamini timu hizi za Tanzania zisizo na wachezaji kutoka nje ni pa kujipigia aisee..ww angalia timu kama Singida...Ihefu na Azam huwezi kuta huu urojo kama wa leo...😀😀😀😀
Kwahiyo ?Vichwa vina wenyewe
Tarehe 16 ya mwezi gani?Tarehe 16 atafunga utafurahi