FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Nimeamini timu hizi za Tanzania zisizo na wachezaji kutoka nje ni pa kujipigia aisee..ww angalia timu kama Singida...Ihefu na Azam huwezi kuta huu urojo kama wa leo...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huyu mchambuzi ni team jangwani huyu, yaani anaelezea upande mmoja tu wa Yanga, kagera amegusa sehemu moja tu tena kwa kuwa kuna faulo imechezwa kwa mchazaji wa Yanga πŸ˜€!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…