FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

Mpira wa TZ kwishne .... huku Uto mechi 2 wachezaji wa kigeni wanafunga goli zote 6, na kule Simba mechi 2 magoli yote 7 wanafunga wageni
Kwa hali ya team zetu kubwa zilivyo na wachezaji wengi wa kigeni, na wanacheza nafasi za ushambuliaji lazima waongoze kwa kufunga, na tunajisifu kwamba tumesajili mitambo ya magoli, ili hali tunadidimiza viwango vya wazawa na walio wengi wanacheza kama viungo wakabaji si rahisi waongoze kwenye ufungaji. Hata hao wazawa wachache wanaocheza nafasi za ushambuliaji wanakabiliana na ushindani wa namba kwenye team zao kwani wapo wengi wenye viwango vya juu kuwazidi wao. Zinahitajika juhudi za ziada kuthibitisha uwezo wao ili waaminiwe na team zao wapate nafasi ya kufunga. Ni mtazamo wangu tu
 
Mipasho muachie zuchu yakhe [emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Makocha nao wawe wazawa ndio wataaminiwa bila hivyo bure kabisa.
Na washabiki waache kuwaponda na kuwakatisha tamaa na kuwafanya kukosa kujiamini.
 
Mayele amekosa mabao mengi sana kuliko mchezaji yeyote leo katika micehzo yote iliyochezwa minne leo.
 
Nimeamini timu hizi za Tanzania zisizo na wachezaji kutoka nje ni pa kujipigia aisee..ww angalia timu kama Singida...Ihefu na Azam huwezi kuta huu urojo kama wa leo...😀😀😀😀
Usijitoe ufahamu, hawahawa wazawa wa Kagera Sugar wanakukamuaga, au umesahau mara hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…